UTAJIFUNZA:-

1. Kuinstall ‘Themes’ muonekano wa website ya biashara mtandao
2. Kufanya ‘Customization’ ya muonekano ‘Themes’
3. Kuinstall ‘woocomerce’ plugin ili uweze kuuuza bindhaa kwa njia ya mtandao
4. Kutengeneza page
5. Kutengeneza na Kurekebisha ‘Menu’
6. Kuweka Video za youtube katika tovuti yako
7. Kuweka ramani ‘Google Maps’ katika tovuti yako
8. Kuinstall Facebook ‘Plugin’