UTAJIFUNZA:
1. Namna ya kupata Free ‘Domain’
2. Namna ya kupata Free ‘Hosting’
3. Namna ya Kuhost Website
4. Kutengeneza Email kwa jina ‘Domain’ i.e support@your-name.com
5. Kuupload website kwa kutumia FTP Client (Upload Manager)
N.k
Kwa maoni Piga/Whatsapp 0653 289 714 au Email bongotech.tutorial@gmail.com
Kudownload kitabu na video jisajili chini