-
JIFUNZE KUTENGENEZA BLOG – MWANZO MPAKA MWISHO
-
Fungua WhatsApp Kwenye Computer yako – Dakika 1 tu
-
JIFUNZE KUTENGENEZA TOVUTI AU ‘WEBSITE’ BILA KUJUA ‘CODE’ AU LUGHA YA ‘COMPUTER’ – SEHEMU YA TATU
UTAJIFUNZA: 1. Namna ya kupata Free ‘Domain’ 2. Namna ya kupata Free ‘Hosting’ 3. Namna ya Kuhost Website 4. Kutengeneza Email kwa jina ‘Domain’ i.e support@your-name.com 5. Kuupload website kwa kutumia FTP Client (Upload Manager) N.k Kwa maoni Piga/Whatsapp 0653 289 714 au Email bongotech.tutorial@gmail.com Kudownload kitabu na video jisajili chini
-
JIFUNZE KUTENGENEZA TOVUTI AU ‘WEBSITE’ BILA KUJUA ‘CODE’ AU LUGHA YA ‘COMPUTER’ SEHEMU YA PILI
UTAJIFUNZA:- 1. Kuinstall ‘Themes’ muonekano wa website ya biashara mtandao 2. Kufanya ‘Customization’ ya muonekano ‘Themes’ 3. Kuinstall ‘woocomerce’ plugin ili uweze kuuuza bindhaa kwa njia ya mtandao 4. Kutengeneza page 5. Kutengeneza na Kurekebisha ‘Menu’ 6. Kuweka Video za youtube katika tovuti yako 7. Kuweka ramani ‘Google Maps’ katika tovuti yako 8. Kuinstall Facebook
-
JIFUNZE KUTENGENEZA TOVUTI AU ‘WEBSITE’ BILA KUJUA ‘CODE’ AU LUGHA YA ‘COMPUTER’ – SEHEMU YA KWANZA
UTAJIFUNZA:- 1. Nini maana ya tovuti 2.Njia ipo inayopendwa kutengeneza tovuti 3. Namna ya kuifanya ‘computer’ yako iwe ‘server’ au iweze kuendesha website kwa kutumia XAMPP. 4. Namna ya ‘kuinstall’ WordPress